0
 Tazama picha 30 za Misa ya shukrani kwaajili ya kumbukumbu ya miaka 6 ya kifo cha aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mwigobero,Manispaa ya Musoma na mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Mzee Msomi Bwana iliyofanyika nyumbani kwake Kenesi wilayani Rorya na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali

 Kwaya ya Kanisa Katoriki Parokia ya Komuge ikiendelea na nyimbo kwaajili ya misa hiyo
 Baba Paroko akiendelea na misa Kijijini Kinesi
 Misa inaendelea
 Ndugu,jamaa na marafiki wakifatilia Misa hiyo

 Sehemu ya watoto wa mzee Msomi
 Katibu wa CCM mkoa wa Mara,Adam Garawa(kushoto) akiwa na Gerge Marato wa ITV
 Sehemu ya jamaa waliohudhuria
 Hapa ni sehemu ya misa

 Kamanda wa polisi mkoa wa Mara,Ramadhani Ng'anzi(kulia)akiwa na mmoja wa watoto wa Mzee Msomi,Ramadhani Msomi,kwenye Misa hiyo.
 Hapa ilikuwa kwaajili ya kubariki makaburi


 Nyumba ya familia pia ilikwenda kubalikiwa
 Wanafamilia wakiwa nje ya nyumba wakati Paroko akiendelea na Misa

 Baadae ulikuwa ni wasaa wa chakula
 Kamanda wa polisi akiwasalimia wahudhuliaji mkoa wa Mara
 Dommy Othuman Juma akiendelea na utambulisho
 Mama aliyeandaa chakula akitoa shukrani
 Baadae vinywaji viliendelea
 Zikafuata picha kwenye makaburi za familiaPost a Comment