0

Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza,Noel Chocha,amemthibitisha,Esther Bulaya,kuwa Mbunge halali wa Jimbo la Bunda mjini kwa kutupilia mbali kesi iliyokuwa imefunguliwa na wapiga kura 4 wa Jimbo hilo wakipinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge huyo ambapo ulinzi ulikuwa umehimalishwa kwenye eneo lote la Mahakama na vikosi vya jeshi la polisi

 Wakili Costantine Mutalemwa,ambaye alikuwa akiwatetea waliokuwa wamefungua kesi ya kupinga matokeo akitoka Mahakamani mara baada ya hukumu ambapo alikataa kuongea neno lolote na waandishi wa habari baada ya kumfuata kataka kujua hatima baada ya hukumu hiyo
 Mutalemwa akijiandaa kuondoka Mahakamani
 Ulinzi ulikuwa umehimalishwa

 Jamaa wakishangilia maaamuzi

Post a Comment