0

BAADA ya usiku wa jana wakazi wa Tarime kupata burudani ya kutosha kutoka kwa nguli wa muziki wa dance hapa nchini Ally Choki katika ziara yake ya kuwa kwenye game kwa miaka 30,sasa burudani hiyo inaamia Musoma ambapo usiku wa leo itafanyika kwenye ukumbi wa Dream Garden kwa kiingilio cha shilingi elfu 10 getini. 

  Dancer wakishambulia jukwaa ndani ya Tarime
Ally Choki kazini

 Ni mwendo wa kukonga nyoyo

 Burudani ilikuwa si mchezo
 Leo usikose vitu hivi ndani ya Dream Garden MusomaPost a Comment