0
 KWA mara nyingine tena,mkuu wa wilaya ya Tarime ameongoza oparesheni ya kupambana na kudhibiti kilimo cha bangi wilayani humo na kufanikiwa kufyeka na kuteketeza ekali 120 ya zao hilo.

TARIME BILA BANGI INAWEZEKANA
"tulikuwa na siku ya kuteketeza bangi wilayani Tarime (Bangi day in Tarime) kazi hii ilihusisha zaidi ya wafyekaji 1000 wakijumuisha watumishi wa serikali halmashauri zote mbili yaani mji na wilaya. Vyombo vya dola na mgambo zaidi ya 300 na vijana wa ccm zaidi ya 300. Tumeteketeza zaidi ya hekari 100 na hatujamaliza kazi. My take Tarime inalima Bangi kama zao halali lakini nitahakikisha kilimo hiki haramu kinafikia ukomo. Naomba tuendelee kushirikiana. Nawashukuru sana wote mnaotuunga mkono,"Gloriousluoga Luoga.Post a Comment