0


Timu ya waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda,imefanikiwa kutinga hatua ya fainali katika mashindano ya kombe la ng’ombe yanayoendelea kwenye uwanja wa Mara sekondari na sasa itakutana na timu ya kigera veterani siku ya ijumaa ambapo wadau mbalimbali wa manispaa ya Musoma wameombwa kujitokeza kushuhudia fainaili hiyo

 mashabiki wa bodaboda


Makocha wa timu ya FFU-Mara waliotolewa na bodaboda kwenye mchezo wa nusu fainali

Mashabiki wa FFU-Mara
Kocha,Machupa wa Bodaboda
Benchi la FFU-Mara
Purukushani mchezoni

Post a Comment