0
 Watoto wakiwa na wazazi wao wakisherehekea sikukuu ya Pasaka ndani ya Le Grand Victoria hotel,ambayo ni hotel ya  kisasa mjini Musoma iliyopo mtaa wa Kennedy ambapo watoto hupata walipata fursa ya kuogelea bure ndani ya Swimming Pool,leo katika jumatatu ya Pasaka kuna "Offer"nyingi zitatolewa,kuku mzima pamoja na chips,ugali au wali kwa shilingi 150000,mbuzi kwa chips,wali au ugali kwa shilingi 10,000 na samaki makange ukimfaidi kwa 12,000,pamoja na huduma za vinywaji vya kila aina karibia ndani ya Le Grand Victoria Hotel.
 Watu wakiendelea kubaliz hadi mida frani
 Huduma mpya ya utalii wa ndani itaanza hivi karibuni
 Boti ya Le Grand Victoria Hotel ambayo hivi karibuni pia itaanza huduma za utalii wa majini kwenye visiwa mbalimbali ndani ya ziwa victoria
 Hapa ndio sehemu sahihi ya kupumzika ukiwa Musoma

Post a Comment