0
 ATIKA kusherehekea sherehe za sikukuu ya wafanyakazi mei mosi 2017,uongozi wa Le Grand Victoria Hotel imekaa kwa pamoja na wafanyakazi mara baada ya chakula cha pamoja cha mchana na kupeana mikakati mbalimbali ikiwemo namna ya kuwahudumia vizuri wateja ambapo wale ambao wameonekana kufanya vizuri kwenye vitengo vyao wamepewa zawadi mbalimbali ikiwemo vyeti...........Le Grand Victoria Hotel kwa huduma za uhakika,tupo barabara ya Kennedy mjini Musoma na kwa sasa tumeanza kutoa huduma ya utalii wa ndani wa nchi kavu na majini na huuma bora ya malazi na chakula kwenye hotel yetu-mawasiliano zaidi piga namba za simu zifuatazo-0743775488
 Karibu kwenye hotel nzuri ukiwa Musoma
Meneja wa Le Grand Victoria Hotel akizungumza na wafanyakazi kabla ya kutoa zawadi kwa wafanyakazi bora
 Wafanyakazi wakimsikiliza meneja kwa makini
 Maelekezo
 Msisitizo

 Ufatiliaji

 Mwendo wa zawadiPost a Comment