0

WANANCHI wa Jimbo la Musoma vijijini wamemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo kuwapelekea kwa mara nyingine madaktari bingwa kutoka nchini China kuwatibu bure magonjwa mbalimbali ambayo yanawakabili huku hiyo ikiwa ni mara ya 4 kwa madaktari hao kufika kwenye jimbo hilo kwaajili ya kutoa huduma ya vipimo na matibabu

 Madaktari wakiwatibu wananchi

 Wananchi wakipanga foleni kutibu wananchi

 Profesa Muhongo akitoa utaratibu kwa wananchi

 Huduma zikiendelea
 Mtendaji wa Kata ya Nyambono akiwakaribisha madaktari kwenye Kata hiyo kwaajili ya kutoa huduma za matibabu bure
 Mkuu wa Wilaya ya Musoma,Dr, Vicent Naano,akisaini vyeti vya shukrani kwaajili ya kuwakabidhi madaktari hao

 Mkuu wa wilaya akizungumza


 Muhongo pia akisaini vyeti
 Vyeti vikikabidhiwa
 Zoezi likiendelea

Katibu mkuu wa madaktari hao,dr.Song Tao,akikabidhiwa cheti na mkuu wa wilaya
Picha ya pamoja ya madaktari

Post a Comment