0
 MENEJA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) mkoa wa Mara,Mvungi Chayoa,amewataka waajiri kuhakikisha wanawasilisha michango ya wafanyakazi kwa wakati na kuzingatia sheria ili kuepuka kufikishwa Mahakamani kwa kuwa kitendo cha kushindwa kuwasilisha michango ni kosa kwa mujibu wa sheria.

Akizungumza na wadau wa mfuko huo kwenye ukumbi wa uwekezaji wa mkoa wa Mara,meneja huyo amesema wameshaanza kuwafikisha Mahakamani waajiri ambao wanashindwa kuwasilisha michango na waliofikishwa Mahakamani wameweza kulipa.

Amesema vyama vya wafanyakazi vina wajibu wa kufatilia na kuona kama waajiri wanawasilisha michango hiyo kuliko kusubili wanachama kuja kuangaika wakati wa kustafu na kufatilia mafao yao.

 Meneja wa NSSF mkoa wa Mara,Mvungi Chayoa,akifatilia jambo kwenye kikao hicho
 Wadau wakiwa wanafatilia kikao hicho



 Meneja akizungumza kwenye kikao hicho
 Mkuu wa wilaya ya Musoma,Dk Vicent Naano,akifungua kikao hicho
 Katibu wa chama cha wafanyakazi wa mahotelini(Chodawu) David Mapuga,akitoa neno la shukrani
 Mkuu wa wilaya akiaga baada ya kufungua kikao
 Meneja akitoa somo

 Katibu Tawala mkoa wa Mara akisisitiza jambo

Post a Comment