0

WADAU mbalimbali wa masuala ya urembo mkoani Mara,usiku wa jana wamehudhuria uzinduzi wa shindano la miss Mara 2017 kwenye hoteli ya Le Grand Victoria ambapo mkuu wa wilaya ya Musoma,Dk.Vicent Naano,amewahakikishia waandaaji wa shindano hilo kuwapa ushirikiano unaostahili hadi siku ya shindano hilo julai 8.

Jumla ya warembo 15 walioweka kambi kwenye hotel ya Le Grand kila mmoja ametamba kuibuka na taji hilo na kuuwakilisha mkoa wa Mara kwenye shindano la miss Tanzania
Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo

Mmoja wa washiriki akitoa burudani ya kuiimba kwa wadau

Show inaendelea

Wadau wakifatilia
Mkurugenzi wa Le Grand Victoria Hotel ambapo warembo hao wameweka kambi,Ramadhan Msomi,akizungumza kwenye uzinduzi huo


Kazi hipo
Wadau wa urembo,sister Anitha (kushoto) na Martha wakizungumza kwenye uzinduzi huo
Mambo yanaendelea
Mtemi Zumbe alikuwepo pia kwenye shughuli hiyo
Abasi Chamba akitoa neno
Mkuu wa wilaya ya Musoma,Dk.Vicent Naano,akizungumza na wadau wa mashindano ya ulembo
Mkurugenzi wa Dream Garden mahala ambapo shindano litafanyika julai 8 akizungumza kwenye uzinduzi huo
Meneja wa kampuni ya Tigo mkoa wa Mara,Edwin Kisamo akizungumza kwenye uzinduzi huo


Picha chini warembo wakiwa na mmoja wa wadhamini

Post a Comment