0





MBUNGE wa Jimbo la Bunda mjini,Esther Bulaya,amehamishwa kutoka hospitali ya Wilaya ya tarime na kuhamishiwa hospitali ya mkoa wa Mara kwaajili ya matibabu zaidi baada ya kuugua ghafla akiwa mahabusu kwenye kituo cha polisi Tarime.

 Gari iliyotumika kumtoa Esther Bulaya hospitali ya wilaya ya Tarime na kumpeleka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara kwaajili ya matibabu zaidi baada ya kuugua akiwa mahabusu kituo cha polisi Tarime

 Bulaya akiingizwa hospitalini








Post a Comment