0


MKUU wa mkoa wa Mwanza,John Mongela(kulia)akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa mkoa wa Mara,Dk.Charles Mlingwa,ambapo leo umeanza kukimbizwa kwenye mkoa wake ambapo utakimbizwa halmashauri 9 na kuzindua jumla ya miradi 61 ya maendeleo inayoghalimu zaidi ya shilingi bilioni 11 huku mkuu wa mkoa wa Mara akitoa wito kwa wananchi kujitokeza sehemu mbalimbali ambazo mwenge huo utapita

 Mkuu wa wilaya ya Musoma,Dk.Vicent Naano(kulia) akiwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya Musoma,Frola Yongolo(katikati)na Mwenyekiti wa halmashauri ya Musoma,Charles Magoma,wakisubilia mapokezi ya mwenge kutoka mkoa wa Mwanza
 MKUU wa Wilaya ya Musoma,Vicent Naano,akiwa na mkuu wa wa Wilaya ya Tarime,Glorious Luoga,wakibadilishana mawazo kabla ya kupokea Mwenge

 Viongozi wa mkoa wa Mara wakisubili kupokea Mwenge
 Viongozi kutoka mkoa wa Mwanza wakishangilia kukabidhi mwenge
 Mkuu wa mkoa wa Mwanza,John Mongela,akitoa taarifa ya kukimbizwa mwenge kwa mkoa huo
 Kamanda wa polisi mkoa wa Mara,Jafar Mohamed(katikati)akiwa na maafisa wengine wa usalama wakati wa mapokezi hayo
 Mkuu wa wilaya ya Serengeti,Nurdin Babu(kushoto)akiwa na mkuu wa wilaya ya Rorya,Saimon Chacha
 Wakuu wa wilaya z mkoa wa Mara wakiwa kwenye mapokezi hayo
 Waandishi wa Habari hawakuwa nyuma kwenye mapokezi hayo
 Askari polisi wa mkoa wa Mara wakisubili kuanza kwa mbio za mwenge kwa mkoa wa Mara
 DC Naano akimkaribisha mmoja wa wakimbiza mwenge

 DC Luoga akimkaribisha mmoja wa wakimbiza mwenge kitaifa

 Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa,Amour Hamad Amour akiwaaga viongozi wa mkoa wa Mwanza
 Mkuu wa mkoa wa Mara,Dk.Charles Mlingwa,akimpokea kiongozi wa mbio za Mwenge
 Naano akimpokea kiongozi wa mbio za Mwenge
 DC Luoga akimpokea kiongozi wa mbio za Mwenge

 Mlingwa akipokea hati ya makabidhiano kutoka Mongela
 Kamanda Jafar akipokea mwenge wa Uhuru
 Wakuu wa wilaya ya Tarime na Musoma wakibadilishana mawazo
 Wakurugenzi wa baadhi ya halmashauri za mkoa wa Mara wakifatilia mapokezi hayo

Post a Comment