0
 Mwenge wa Uhuru umewasili wilayani Tarime ukiwa mkoani Mara ambapo ukiwa halmashauri ya mji wa Tarime licha ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo,kiongoi wa mbio za mwenge Amour Hamad Amour,ameteketeza magunia 35 ya bangi na kusikitishwa na baadhi ya viongozi kukwamisha juhudimbalimbali za mapambano dhidi y dawa za kulevya ikiwemo bangi.
 Kiongozi wa mbioza mwenge Amour Hamad Amour,akikilikupokea risala ya uti kwa Rais kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga
 Mkuu wa Wilaya ya Tarime  akiburudika na watumishi wahalmashauri ya Tarme mji kwenye uwanja wa chuo cha ualimu Tarime unapofanyikamkesha wa mwenge
 Kiongoziwa mbiozamwenge kitaifa,Amour Hamad Amour(wa tatu kutoka kulia)akiwa kwenye jukwaa la bendi ya Acudo Impact linaloburudisha kwenye uwanja huo
 Burudani zinaendelea
 Mkuu wa mkoa wa Mara,Dk.Charles Mlingwa (mwenye koti)akisikiliza risala ya uti,kushoto ni mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga na kulia ni Elias Mtiluhungwa








Post a Comment