0
 BENKI ya NMB imetoa elimu ya biashara kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Mara juu ya kufanya biashara kwa faida huku ikiahidi kuboresha utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara kutoka milioni 30 hadi 50 ili waweze kukuza biashara zao na kuwa kubwa zaidi ambapo wafanyabiashara wameshukuru kwa kupewa elimu ambayo itawasaidia kwenye biashara zao
 Sehemu ya wafanyabiashara wakifuatilia mkutano wa wafanyabiashara  uliofanyika kwenye ukumbi wa uwekezaji kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mara
 Wafanyabiashara wakiwa makini
 Kaimu Mkuu wa Wateja wa rejareja wa NMB akizungumza na wafanyabiashara wa mkoa wa Mara
 Mkuu wa mkoa wa Mara akifungua mkutano huo na kuwaomba wafanyabiashara kuzingatia elimu itakayotolewa
 Mmmoha wa wafanyabiashara walionufaika na mikopo ya NMB,Beatrice Mbaga,akitoa ushuhuda wake
 Mfanyabiashara Chamba Yusuf nae alitoa ushuhuda wa kunufaika kibiashara kwa kuwezeshwa na NMB
 Mkutano ukiendelea
 Wafanyabiashara wakifatilia
 ,Mkuu wa mkoa akifatilia biashara za wajasiliamali waliowezeshwa na benki ya NMB
 Mkuu wa mikopo kutoka NMB,Tom Borgous,akiangalia biashara za wajasiliamali

 Wajasiliamali kazini
 Mkuu wa mkoa akiagana na Tom baada ya kufungua mkutano
 Kaimu Mkuu wa kitengo cha biashara,Donatus Richard, akifatilia mkutano huo
 Maswali ya wajasiliamali yakichukuliwa na kaimu mkuu wa wateja wa rejareja,Abdulmajid Nsekela
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha biashara akiwa na Mwenyekiti wa Club ya wafanyabiashara wa mjini Musoma wakifurahia jambo
Maswali yakijibiwa
Meneja wa Kanda wa NMB,Abraham Augustino,akizungumza kwenye mkutano huo
Mkuu wa mikopo wa benki ya NMB akisisitiza jambo


Post a Comment