0
 DUKA la vifaa vya michezo la Bingwa fashion lililopo jijini Dar es salaam, limezing'alisha timu 18 zinazoshiriki mashindano ya Sirro Cup yanayofanyika wilayani Butiama kwa kuzipatia seti za jezi kila moja na kuzifanya kuwa na muonekano mzuri wa kuvutia kwenye mashindano hayo.
 Licha ya kutoa seti hizo za jezi pia wadhamini hao ambao ni wadhamini pekee wa mashindano hayo watatoa zawadi kwa washindi wa mashindano hayo ambapo hamasa kubwa na ushindani umekuwa ukionekana kwenye mashindano hayo tangu kuanza oktoba 14
 Diwani wa Kata ya Kamgegi, akikagua timu ya masaba ambayo imeondolewa kwenye mashindano hayo ambapo timu 6 zimeingia hatua ya sita bora

 Kikosi cha timu ya Masaba
 Kikosi cha timu ya Kamgegi kilichoingia hatua ya 6 bora
 Mashabiki wakifatilia mchezo

 Mshikeshike uwanjani



 kadi pia hazikuwa nyuma kwa waliocheza vibaya
 Msanii Maringo alikuwepo kwaajili ya kuburudisha
 burudani kwa kwenda mbele
 Mambo ya burudani

 Mratibu wa mashindano,Ramadhani Tamimu akizungumzia mashindano hayo
 Nahodha wa timu ya Kamgegi akizumzia mchezo uliomalizika na kutinga hatua ya 6 bora


Post a Comment