1


WANANCHI na wachimbaji wadogo katika wilaya ya Tarime wa naozunguka mgodi wa Nyamongo,wameandamana wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali ikiwemo kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli, kwa kusimamia na kufatilia rasilimali za taifa huku mabango mengine yakishutumu mgodi wa Acacia North Mara kwa kushindwa kutekeleza makubaliano mbalimbali ikiwemo ujenzi wa chuo cha ufundi ambacho kipo kwenye makubaliano na muwekezaji huyo ambacho hakijajengwa zaidi ya miaka 19



Mkuu  wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga, alisema amepokea ujumbe uliomo kwenye mabango hayo kwa kusoma kila bango na kuyachukua na kuwahakikishi wananchi hao kufikisha kwa Rais na kuona kilio cha wananchi hao.

 Mkuu wa wilaya akisoma mabango hayo
 Ujumbe ukiendelea kusomwa na mkuu wa wilaya
 Mkuu wa wilaya (kulia) akiwa na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Tarime,Apoo Castro Tindwa,wakisoma mabango hayo
 Ujumbe unaendelea

 Bango la wachimbaji wadogo wa Nyabigena
 Ujumbe unaendelea kupokelewa

 Kila bango linasomwa


 Wimbo wa taifa ukiimbwa





 Mkuu wa wilaya akipokea mabango ya wananchi
 Maandamano yakipita mitaa ya Nyamongo



Post a Comment

XN Bet - 1XBET - 1XBET, Betting, Free,
XN Bet. Bet is the first 1XBET betting exchange platform with an extensive and advanced live betting services. This platform includes a dafabet link wide range matchpoint of