0
Wakazi wa Manispaa ya Musoma na kutoka nje jana wamepata burudani ya nguvu kutoka kwa msanii Reyvanny kutoka kundi la wasafi na kumpongeza msanii huyo kwa burudani nzuri na kuimba nyimbo nyingi jambo ambalo wasanii wengine wamekuwa hafanyi show ya nguvu kama msanii huyo.



 Reyvanny akiendelea kuwaburudisha wakazi wa Musoma
 Burudani zikiendelea
 Ni mambo ya raha


 Palikuwa hapatoshi


Dj Dullah wa Dream Gardern akifanya yake

Post a Comment