0


 
MICHEZO mbalimbali ya watoto imeandaliwa ili kuwafanya kufurahi wakiwa na wazazi wao katika msimu huu wa sikukuu za krisimass na mwaka mpya ambapo uongozi wa Le Grand Beach iliyopo mjini Musoma wamewaomba wazazi kuwapeleka watoto eneo hilo na kuwapa furaha huku huduma nyingine mbalimbali zikiwemo za vinywaji na vitafunywa vyenye kiwango kizuri zikipatikana.


 Beach hii ya kisasa ipo maeneo ya Majengo barabarani kabla haujafika kariakoo nje kidogooooooo ya mji wa Musoma
 Hapa ni maeneo yanaandaliwa kwaajili ya watu kukaa yakipendezeshwa na TBL
 
 Michezo ipo mingi
 Watoto watafurahi zaidi
 Bembea pia zipo
 Maputo ya kuchezea yapo



Post a Comment