0


Hotel maarufu ya Le Grand Hotel iliyopo mjini Musoma imetimiza miaka 2 tangu ilipofunguliwa huku uongozi wa hotel hiyo ukidai kuendelea kutoa huduma bora zaidi kwa wateja wake wanaofika kupata huduma kwenye hotel hiyo.
 
Meneja wa hoel hiyo Paul Mutinda,amesema wafanyakazi wake wanathamini wateja na kuwahudumia ipasavyo na kudai kuendelea kutoa huduma bora kwa kuwa wamekuwa wakipa semina mara kwa mara juu ya utoaji huduma
 Muhasibu wa kampuni,Josephine Marcus, akichukua chakula wakati wa sherehe fupi ya kutimiza miaka 2
 Huduma ya chakula inaendelea
 Salim mmoja wa staff akipata chakula
 Meneja wa hotel,Paul Mutinda,akizungumza na staff
 Staff wakifatilia mazungumzo na meneja
 Mazungumzo yakiendelea
 Picha ya pamoja ya staff
 Mapozi yakiendelea

 Staff wa Le Grand hotel na mapozi yao
 Jamaa si wa mchezo mchezo



Post a Comment