0

MFANYABIASHARA Rama Msomi Bwana na familia yake wamewashukuru wageni waliohudhuria kwenye harusi yake kutoka ndani na nje ya nchi na kudai wamempa heshima kubwa kwa kumthamini  na kuchukua hatua ya kuudhuria kwa kuwa bila watu sherehe haiwezi kufana na kuwaomba kushirikiana na watu wengine katika majumiko mbalimbali kwani kufanya hivyo kuna jenga mahusiano mazuri

 Rama ambaye ni kurugenzi wa hotel ya kisasa iliyopo mjini Musoma ya Le Grand Hotel na Le Grand Beach, amefunga ndoa na Christian huku sherehe hiyo ikitajwa moja ya sherehe nzuri zilizofanyika kwa mwaka 2017 mkoani Mara
 Magari yakijiandaa kuwafata maharusi na kuwaleta ukumbini
 Ilikuwa ni shangwe mitaani
 Watu walipendeza white
 Wageni walipata picha eneo hili
 Bwana na Bi Harusi wakitaka kuingia ukumbini
 Utepe ukikatwa
 Ndafu pia ilikuwepo kwenye sherehe hiyo

 Keki ikiandaliowa kukatwa
 Ilikuwa raha sana



 Eneo la chakula kilichokuwa kimeandaliwa
 Ndafu ikikatwa



 Mambo ya kulishana matunda
 Mambo ya msosi







Post a Comment