0




MASHABIKI wa timu ya Biashara United ya mkoani Mara, wakifanya shangwe kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume mjini Musoma baada ya kuifunga timu ya Alliance School ya jijini Mwanza katika mchezo wa ligi daraja la kwanza ambapo kutokana na ushindi huo sasa timu hiyo inaongoza ligi kwa kufikisha pointi 23 na kuvuta kasi ya kuelekea ligi kuu msimu ujao

 Shabiki wa Biashara maarufu kwa jina la Baga akionyesha kuashilia ushindi wa bao 3 lakini Biashara ilishinda 2-0 dhidi ya Alliance
 Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Tarime,Apoo Castro Tindwa,mwenye kofia akifatilia mchezo huo na wadau wengine wa mpira
 Wadau wakifatilia mchezo
 Mchezo ukiendelea
 Mashabiki wengi walijitokeza
 Jukwaa lilijaa hadi pembeni

 Jamaa wakishangilia bao la pili
 Benchi likifatilia mchezo

 Wadau wakiwa makini
 Mwenyekiti wa Biashara Selemani Mataso(katikati) akifatilia mchezo na wadau wengine
 Jamaa wakishangilia ushindi

 Ushindi una raha yake

 Shabiki kwa raha zake
 Ilikuwa burudani

 Mkuu wa mkoa wa Mara,Adam Malima,akifurahia ushindi





Post a Comment