0
 TIMU ya Biashara United Mara,imefanikiwa kupanda daraja na kucheza ligi kuu msimu ujao baada ya kuifunga timu ya Transit Camp ya mkoani Shinyanga katika mchezo wa mwisho wa ligi daraja la kwanza na kuamsha shangwe kubwa kwa mashabiki lukuki waliokuwa wamejitokeza kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume mjini Musoma wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Mara,Adam Kigoma Malima.
 Mashaabiki wakiendelea na shangwe za kwenda ligi kuu
 Wanamita John Cina
Mambo mambo pia yalihusika

 
 Mkuu wa mkoa wa Mara,Adam Malima, akisalimiana na wachezaji wa Biashara United kabla ya kuanza kwa mchezo



 Kikosi cha Biashara katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali

 Wachezaji wakiomba dua kabla ya mchezo
 Mashabiki wakipewa heshima yao na wachezaji
 Sehemu ya baadhi ya wanachama wa timu ya Biashara wakifatilia mchezo
 Mkuu wa Wilaya ya Tarime,Glorious Luoga,akifatilia mchezo
 Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Tarime, Apoo Castro(mwenye kofia kulia) akiwa na Dk.Chirangi wakifatilia mchezo
 Mashabiki wakiendelea shangwe
 Rabsha kidogo hazikukosekana
 Ni mwendo wa shangwe


 Si mchezo mkuu wa mkoa,Adam Malima,
 Mashabiki







 Kocha mkuu wa timu ya Biashara Mara,Madenge Omary akitoa maelekezo
 Meneja Aman Josia(kulia)akielekeza jambo





 Binda Jr nae alikuwepo uwanjani

Post a Comment