0
 WACHEZAJI wa timu ya Biashara United ya mkoani Mara wamekabidhiwa zawadi ya kiasi cha fedha zaidi ya milioni 16 baada ya kufanikiwa kucheza ligi kuu msimu ujao fedha ambazo zimechangwa na wadau mbalimbali wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo,mbunge wa jimbo la Musoma vijijini,Profesa Sospeter Muhongo na wadau mbalimbali ambao kwa pamoja wamefikisha kiasi hicho cha fedha ambazo zimegawiwa kwa wachezaji na makocha.
 Mkuu wa mkoa wa Mara, Adam Malima, akiongoza chakula cha jioni kilichoandaliwa na mbunge wa jimbo la Musoma mjini kwaajili ya kuipongeza timu ya Biashara United sambamba na kukabidhi zawadi kwa wacheza
 Ndafu ya samaki pia ilikuwepo
 Wachezaji wakiwa tayari kupata chakula cha usiku ndani ya maltivila beach
 Mwendo wa kupata msosi

 Haikuwa mchezo
 Songa akipitia sangara
 Mbunge Mathayo akipata chakula pamoja na wachezaji
 Beki kisiki Malimbiche akipata chakula
 Mpapi sio mchezo

 Kapten Kauswa akishukuru kwa niaba ya wachezaji
 Wanachama wa Biashara hawakuwa mbali
 Meneja Aman akiwa na Mathayo
 Wachezaji wakipata chakula
 Kocha mkuu wa Biashara,Madenge Omary akitoa shukrani
 Meneja Aman nae alitoa neno
 Mwenyekiti wa kamati ya mipango na fedha wa timu,Marwa Mathayo akitoa neno
 Mwenyekiti wa timu,Selemani Mataso,akishukuru
 Meneja Aman akipokea bahasha!
 Rumba pia lilisakatwa


 Mwendo wa bahasha pesanimpesa!Wachezaji Biashara United




Post a Comment