0





kikazi zaidi jukwaani


kila mmoja aliitaka kupata picha kupitia camera ya simu

full vicheko vya kiburudani

Sharobaro Dulla kushoto pia alikuwepo

Msanii wa kizazi kimpya Diamond Plutinum mwishoni wa wiki alipagawisha mashabiki wa mji wa Musoma na vitongoji vyake baada ya kufanya show kubwa ambayo ilihudhuliwa na watu wengi katika ukumbi wa bwalo la magereza huku onyesho hilo likimalizika bila vurugu zozote.

Post a Comment