0
SEHEMU YA WAOMBOLEZAJI
ELICK CHIA NDUGU WA MAREHEMU


KAMANDA MTUI AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHOMJANE WA MAREHEMU PAMOJA NA WATOTO WAKE MAPACHA ALIOSAIDIWA NA WAOMBPLEZAJI


MJANE WA MAREHEMU MUSA AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHOKWA HERI KAMANDA

MBELE YAKO NYUMA YETU


KAMANDA WA POLISI MKOANI MARA FERDINANDI MTU ALIONGOZA ASKARI NA WANANCHI WALIOFIKA KAMBI YA ASKARI MUSOMA MJINI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ASKARI PC MUSA MBAGA WA NGUDU KWIMBA ALIYEFARIKI DUNIA KWA MARADHI MJINI MUSOMA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NYUMBANI KWAO MKOANI KILIMANJARO.

Post a Comment