0
 WAUMINI WA DINI YA KIISLAM WAKISOMA DUA YA HITIMA
 MTOTO WA MAREHEMU MZEE RAJABU,ABDULRATIF ALIYEANGALIA KAMERA
 WAKINA MAMA WAKIWA UANI WAKIFATILIA KISOMO CHA HITIMA
 MAANDALIZI YA CHAKULA BAADA YA KISOMO
 KKISOMO KIKIENDELEA KUTOKA MULID
 MDOGO WA MAREHEMU MZEE RAJABU AKITOA SHUKURANI
 FAMILIA YA MZEE RAJABU


 TUNASHUKURU KWA YOTE,WATOTO WA MAREHEMU MZEE RAJABU,KUTOKA KUSHUTO NI SHANIA,SAWAI,,ABDULRATIF NA ARAFAT
EMANUEL CHIBASA AKIBADILISHANA JAMBO NA MTOTO WA ALIYEKUWA MENEJA WA UWANJA WA KARUME MAREHEMU MZEE RAJABU MARA BAADA YA KUMALIZIKA KUSOMWA KISOMO CHA HITIMA NYUMBANI KWAKE NYAMATARE MANISPAA YA MUSOMA

Post a Comment