0
MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) VEDASTUS MATHAYO,AKIONGOZANA NA WANACHAMA WA CHAMA HICHO WALIOMPOKEA NJE KIDOGO YA MJI WA MUSOMA AKITOKEA MKOANI DODOMA NA KUFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA ULIOFANYIKA KWENYE UWANJA WA SHULE YA MSINGI MKENDO,KATIKA MKUTANO HUO,MATHAYO AMESEMA KUNA MAMBO MENGI YALIYOMSUKUMA KUGOMBEA NAFASI HIYO NA KUAHIDI KUTOWAANGUSHA WAKAZI WA MUSOMA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA UCHAGUZI MKUU NA KUWASHUKURU WANA CCM KWA KUMCHAGUA WAKATI WA KURA ZA MAONI LICHA YA KUTOKUFANYA KAMPENI NA KUTOKUWEPO KWENYE WAKATI WA UCHAGUZI.
SHABIKI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AKISUBIRI KUMPOKEA MATHAYO HUKU AKICHEZA NGOMA MAENEO YA MUSOMA BUS

MTEULE UGOMBEA UDIWANI WA KATA YA IRINGO JUMA MUSUTO(IGWEEEE)AKIPUNGA MKONO WAKATI WA MAPOKEZI YA VEDASTUS MATHAYO
MATHAYO AKIFUNGWA SKAFU NA CHIPUKIZI WA CCM


IGWEEEEEEEEEE,KATA YA IRINGO
IGWE AKISALIMIANA NA MATHAYO
WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO KWENYE UWANJA WA MKENDO

MATHAYO AKIHUTUBIA MKUTANO
Post a Comment