1
SHINDANO la kumtafuta mrembo wa mkoa wa Mara,Miss Mara 2017 litafanyika siku ya jumamosi ya julai 8 kwenye ukumbi wa Dream Garden Resort ambapo warembo wanaoshiriki shindano hilo kila mmoja ametamba kuibuka na taji hilo na kuuwakilisha mkoa wa Mara kwenye mashindano ya kanda na kitaifa na kuutangaza vyema mkoa wa Mara katika masuala ya urembo

 Washiriki wa shindano hilo wakiwa kwenye pozi tofauti wakati wakiendelea na maandalizi ya kushiriki shindano hilo
 

Nani atavikwa taji........usikosee............
Pozi katika kambi ndani ya Le Grand Victoria hotel
Mambo ya Location na warembo
Full kujiachia
Camera man--Iddcom-papir akiwa Location


Warembo wakijiandaa kufanya utalii wa ndani na Le Grand Tours Safari

Kutoka Le Grand Hotel na kuelekea maeneo tofauti kufanya utalii wa Ndani
Le Grand Hotel mahala tulivu warembo walipoweka kambi

Post a Comment

Aisee warembo wakali usikose kutuwekea video ya tukio