0
 MKUTANO wa Chama cha Mapinduzi ulifanyika kwenye viwanja wa stand ya Nyasho ambapo chama hicho wilaya ya Musoma mjini pamoja na kuongelea utekelezwa wa ilani inayotekelezwa na serikali lakini pia viongozi wa chama hicho walitumia fursa hiyo kupongeza ushind wa chama hicho katika majimbo ya ya Siha na Kinondoni.
 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Nyasho, Manyerere akifungua mkutano huo
 Wana CCM wakifatilia mkutano huo
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Musoma mjini, Magiri Benidictor,akizungumza kwenye mkutano huo huku Mbunge wa Jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo akipunga mikono
 Mwenyekiti akitete jambo na Diwani wa Kata ya Nyasho(Haji Mtete
Diwani wa Kata ya Nyasho, Haji Mtete, akizungumza kwenye mkutano huo ambapo alidai barabara nyingi za kata hiyo zinapitika na sasa kuna miradi ya barabara za lami utakaoanza hivi karibuni kuzunguka soko la Nyasho na maeneo mengine ya Kata hiyo


Post a Comment